Liberal1453
Member
- Oct 26, 2020
- 14
- 3
Habari za wakati huu wajuvi wa mambo, ndugu yenu nimekuja hapa kuomba Msaada wenu.
Ninaishi Dar es salaam, Niko na Mpenzi wangu ambae tuko mwanzoni kabisa mwa mahusiano, Si mtu wa uchumi wa chini na si wa juu sana naweza sema ni mtu wa Uchumi wa kati Juu (mazingira aliyokulia)...
Nimekuwa nikifikiria kumtoa out usiku mmoja ila kila ninachofikiria naona nakosea, nawaza kumpeleka sehemu fulani nzuri patulivu pa kupata chakula kizuri...
Naomba Mawazo yenu katika KuPlan huu mtoko, Kuanzia mapendekezo ya sehemu ya kwenda na gharama zake kama itawezekana.....
Nitashukuru kwa kila mawazo yenu.
*Hanywi Pombe.
*Anapenda Muziki ila hawezi cheza kwenye umma wa watu.