Msaada nataka ninunue pikipiki kwa ajil ya personal use

Mm nimenunua honda click....automatic....mafuta full tank sh 8500...kwa safar za hapa mjini kananisev sana na hata kama ni kilaza wa kuendesha pikpik namna gani utaweza tu
Mkuu, hii ulichukua kwa bei gani na uliagiza nje au hapa hapa mjini?
 
Asant kwa kuanzisha hii mada, pia mm nina mpango huo, asnt kwa washauri walioshaur kilicho baki ni sisi wenyew kuchagua
 
Kw ufahamu wangu mmi pik pik yoyte ile inayoitoa mwenyew dkn n unaanza kuitumia n imara tatizo n shida ni kweny matunzo 2 bhc kun wat wan mikono mibaya hat kw matumiz yao bnfc pik pik ina miez 3 km vle ina miak 3.
 
Mm nimenunua honda click....automatic....mafuta full tank sh 8500...kwa safar za hapa mjini kananisev sana na hata kama ni kilaza wa kuendesha pikpik namna gani utaweza tu
Lita moja inaenda kilomita ngapi mkuu? Na no being gani kuidungua shop.
 
Wese la 20,000/- naichungulia dodoma ile kutoka dsm[emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39]
Ofcoz inafika tu coz inatumia coolant kabisa...ila brand new zinauzwa ilala pale 5.7m...mtumba 3m ....fungua picha uione
 
Kanunue Sinoray Bei Tsh1.8 M hapo mpaka vibali kila kitu (Ni chinese brand sema ina vigezo exactly kama vya honda click au Vespa)...kana ka tenga/kikapu kwa mbele hivi.

Mafuta full tank Litre 3.5 ukiweka unatembelea mpaka unasahau. Appx. Mwenge to Posta (Go & Return kama mara 3 hivi kama sio 4)

Wako Kkoo kwa dealership wa piki piki za Fekon kachukue. Kuna jamaa niko nae kitaa kimoja anayo. Vijisafari vya huku mtaani anakitumia sana.....mara zingine weekends nikiwa home sijaenda mzigoni namuazimaga ila sipiti nayo lami cz mimi ni muoga kdgo na barabara hzi.

Jaribu google " SR 110 " uone picha zake.

Mm nimenunua honda click....automatic....mafuta full tank sh 8500...kwa safar za hapa mjini kananisev sana na hata kama ni kilaza wa kuendesha pikpik namna gani utaweza tu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mkuu bei ya hiyo huoniao
Pic yake
 
Kama kipato chako ni endelevu nakushauri nunua Boxer. Na kama hiyo hela ni ya "ngama" nunua pikipiki ya Mchina hasa SANLG. Inadumu na inauzika haraka pale utakapohitaji kuiuza. Na vipuri vyake vinapatikana kila kona na bei ni mchekea.
Endelevu kivipi mkuu au boxer zinaharibika mara kwa mara....?
 
Endelevu kivipi mkuu au boxer zinaharibika mara kwa mara....?
Mkuu, kuharibika kwa chombo kunategemea na uimara (kilivyotengenezwa) na matunzo. Kwa Boxer vipuri vyake ni ghali kulinganisha na hizi za "mchina" hapo ndipo unapokuja umuhimu wa kipato endelevu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…