perfect hunter
Senior Member
- Jul 12, 2015
- 153
- 94
Mkuu, hii ulichukua kwa bei gani na uliagiza nje au hapa hapa mjini?Mm nimenunua honda click....automatic....mafuta full tank sh 8500...kwa safar za hapa mjini kananisev sana na hata kama ni kilaza wa kuendesha pikpik namna gani utaweza tu