Msaada: Nataka nitume mzigo kutoka Dodoma kwenda Arusha

Msaada: Nataka nitume mzigo kutoka Dodoma kwenda Arusha

Mributz

Senior Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
177
Reaction score
527
Naomba kuuliza nasafirishaje kitanda kutoka Dodoma kuja Arusha.

Kwa mwenye kujua gari za mizigo Dodoma zinapopaki.

Ahsanteni
 
Nenda stand ya mabasi Dodoma pale makampuni lukuki fasta unapakia
 
Jamaa haelewek
Screenshot_20240322-222926_Maps.jpg

Jaribu kwenda mitaa ya Kituo cha mafuta Gbp karibu na reli hapo ndipo magari yanapakilia mizigo ukiuliza mitaa hiyo kuna jamaa wataku connect na gari
 
Naomba kuuliza nasafirishaje kitanda kutoka Dodoma kuja Arusha.

Kwa mwenye kujua gari za mizigo Dodoma zinapopaki.

Ahsanteni
Kitanda hata kwa bus kinaenda.
Wacheck machame investment au Ngasere
 
Back
Top Bottom