Msaada :- Nataka niwe BONDIA

Msaada :- Nataka niwe BONDIA

Jackson94

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2016
Posts
492
Reaction score
560
Kichwa chajieleza,,
Poleni na majukumu
Nina umri wa miaka 24.
Nina ndoto za kuwa bondia
Mkubwabapa Duniani,
Wazoefu wa hii sanaa tafadhali sana naombeni msaada wenu.
 
Kwani Umri sahihi nikuanzia miaka mingapi?
Alichosema jamaa ni kweli, ila siyo nadra kukuta bondia akitamba uzeeni mfano George Foreman baada ya kurudi ulingoni mara ya pili alirudi akiwa umri umeenda na alifanya poa.

Ila bongo tuna hii ya kupunguza umri mfano Dula Mbabe umri anaoonekana kwenye passport siyo wa kweli.

Nina rafiki yangu ni bondia ingawa bado ni wa chini na yupo kwenye gemu kitambo kama upo comfortable nikupe namba yake uone unajiungaje kwenye mazoezi yao.
Kwa sasa kambi yake ni Bagamoyo ila ana connections maeneo ya Mabibo na Manzese.
 
Mtaani umewahi kupigana Mara ngapi kavukavu?na lazima uwe nunda
 
Leta hzo namba mkuu,
Mimi niko kanda ya Ziwa.
 
Nenda morogoro kwa Francis Cheka, atakufundisha vizuri
 
Back
Top Bottom