Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alichosema jamaa ni kweli, ila siyo nadra kukuta bondia akitamba uzeeni mfano George Foreman baada ya kurudi ulingoni mara ya pili alirudi akiwa umri umeenda na alifanya poa.Kwani Umri sahihi nikuanzia miaka mingapi?
Leta hzo namba mkuu,Alichosema jamaa ni kweli, ila siyo nadra kukuta bondia akitamba uzeeni mfano George Foreman baada ya kurudi ulingoni mara ya pili alirudi akiwa umri umeenda na alifanya poa.
Ila bongo tuna hii ya kupunguza umri mfano Dula Mbabe umri anaoonekana kwenye passport siyo wa kweli.
Nina rafiki yangu ni bondia ingawa bado ni wa chini na yupo kwenye gemu kitambo kama upo comfortable nikupe namba yake uone unajiungaje kwenye mazoezi yao.
Kwa sasa kambi yake ni Bagamoyo ila ana connections maeneo ya Mabibo na Manzese.
Usimkatishe tamaa bhana bado sanaUmechelewa sana
Miaka 24 Ni Umri wa kukaribia kustaafu
Mtafute chekaKichwa chajieleza,,
Poleni na majukumu
Nina umri wa miaka 24.
Nina ndoto za kuwa bondia
Mkubwabapa Duniani,
Wazoefu wa hii sanaa tafadhali sana naombeni msaada wenu.