Alichosema jamaa ni kweli, ila siyo nadra kukuta bondia akitamba uzeeni mfano George Foreman baada ya kurudi ulingoni mara ya pili alirudi akiwa umri umeenda na alifanya poa.
Ila bongo tuna hii ya kupunguza umri mfano Dula Mbabe umri anaoonekana kwenye passport siyo wa kweli.
Nina rafiki yangu ni bondia ingawa bado ni wa chini na yupo kwenye gemu kitambo kama upo comfortable nikupe namba yake uone unajiungaje kwenye mazoezi yao.
Kwa sasa kambi yake ni Bagamoyo ila ana connections maeneo ya Mabibo na Manzese.