MSAADA Nateseka

MSAADA Nateseka

Habari wakuu,Mimi ni mwanaume umri miaka 22.
Kilichonifanya niandike hapa ni kuhusu tatizo nililonalo linalonisumbua.
Mimi ni mnene na kilo 75 na urefu 160cm.
Shida inakuja nauchukia mwili wangu hasa upande wa kuvaa.yaani na makalio makubwa kidogo,mbaya zaidi kalio moja kubwa kuliko lingine na limejigawa yaani upande wa juu kubwa na wa chini dogo imepelekea hata nikivaa Nguo za kuchomekea lile kalio lingine lilojigawa linaweka mchomozo.kitu ambacho kinanyima raha sana wakuu nakua sina confidence mbele za watu.
Naombeni msaada wakuu was Dawa hata wa mawazo.asanteni
afu Kama nakufahamu?!! Na Ni mweupe.
 
Bado hujauchukia unene, siku ukiuchukia utachukua hatua
 
Wakati wengine wanautafuta unene, wengine wanaukataa...Daaahh

Naunga mkono hoja zote zilizotangulia..
Sidhan kama anauchukia unene
Anachukia kuwa na msambwanda

Mie nna kg 78 ila siyo mnene kivile
 
Habari wakuu,Mimi ni mwanaume umri miaka 22.
Kilichonifanya niandike hapa ni kuhusu tatizo nililonalo linalonisumbua.
Mimi ni mnene na kilo 75 na urefu 160cm.
Shida inakuja nauchukia mwili wangu hasa upande wa kuvaa.yaani na makalio makubwa kidogo,mbaya zaidi kalio moja kubwa kuliko lingine na limejigawa yaani upande wa juu kubwa na wa chini dogo imepelekea hata nikivaa Nguo za kuchomekea lile kalio lingine lilojigawa linaweka mchomozo.kitu ambacho kinanyima raha sana wakuu nakua sina confidence mbele za watu.
Naombeni msaada wakuu was Dawa hata wa mawazo.asanteni
tako lako limemzidi Daudi Albert Bashite....... tuanzie hapo kwanza
 
acha kabisa kutumia madawa ya kichina ya kuongeza makalio yata kuuwa, wengine huwa yanawakataa………………. ukifuata ushauri huu ndani ya miezi6 mwili wako wa kawaida utarudi
 
Back
Top Bottom