maishakujipanga
Senior Member
- Feb 13, 2017
- 115
- 119
Una shida ya vidonda vya tumbo???kacheki aysee..Wakuu hapa nilipo nina wasiwasi sana sijui nimeoatwa na nini...
Ila kwa siku tatu nimekuwa nikienda chooni natoa kinyesi chenye damu...
Sijawahi kuumwa vidonda vya tumbo, nakula vyakula vya aina zote sijawahi kuumwa tumbo wala kiungulia au dalili zozote za vidondaUna shida ya vidonda vya tumbo???kacheki aysee..
Haki hiyo inaweza kuchangiwa/kusababiswa na sababu/vyanzo mbalimbali/kadhaa. Cha muhimu ni kuwaona wataama wa afya/madaktari au madaktari wabobezi (GASTROENTEROOGISTS).Wakuu hapa nilipo nina wasiwasi sana sijui nimeoatwa na nini...
Ila kwa siku tatu nimekuwa nikienda chooni natoa kinyesi chenye damu...
unakunywa sana enegy drinks?Wakuu hapa nilipo nina wasiwasi sana sijui nimeoatwa na nini...
Ila kwa siku tatu nimekuwa nikienda chooni natoa kinyesi chenye damu...
Nilikuwa nakunywa zamni nikaacha almost six months niliachaunakunywa sana enegy drinks?
[emoji120][emoji120]Haki hiyo inaweza kuchangiwa/kusababiswa na sababu/vyanzo mbalimbali/kadhaa. Cha muhimu ni kuwaona wataama wa afya/madaktari au madaktari wabobezi (GASTROENTEROOGISTS)...
CheckWakuu hapa nilipo nina wasiwasi sana sijui nimeoatwa na nini...
Ila kwa siku tatu nimekuwa nikienda chooni natoa kinyesi chenye damu...
Ahsanteunakunywa sana enegy drinks?