maishakujipanga
Senior Member
- Feb 13, 2017
- 115
- 119
Wakuu hapa nilipo nina wasiwasi sana sijui nimeoatwa na nini.
Ila kwa siku tatu nimekuwa nikienda chooni natoa kinyesi chenye damu.
Nilidhani labda tatizo litaisha ila leo siku ya tatu naona bado kuna mabonge ya damu nikienda kujisaidia.
Sina dalili zozote za kuumwa wala kiungo chochote cha mwili kuumwa. Nakula vizuri, bila tatizo.
Labda tu najisikia kwenda chooni mara kwa mara.
Naomba msaada wa haraka, na hospitali gani natakiwa kwenda.