chilonge
JF-Expert Member
- Dec 23, 2014
- 1,531
- 2,912
Ndo kipimo gani hiki mkuu??Kapime P.I.T.C
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndo kipimo gani hiki mkuu??Kapime P.I.T.C
kwa watoto kutokwa jasho jingi kichwani na shingoni ni kawaida saaana, maana bado tezi za jasho za sehemu nyingine kama makwapani hazikomaa kufanya kazi kama kwa watu wazima.
Ila ukiona hali hairidhishi, mtoto analialia sana au kudhoofu sana hiyo si kawaida, vitu vinanywoweza kusababisha hali hiyo ni pamoja na kiwango cha sukari kwenye damu kushuka sana, kiwango cha madini joto kuzidi sana, au huna kansa common kwa watoto wanaita Neuroblastoma, nk.
Hapo ni kwa jasho ambalo halina harufu wala mtoto hachemki.
kisukariNatokwa na jasho mda wote mchana na usiku, miguu inakufa ganzi na inaniwaka moto naomba msaada juu ya tatizo hili