kwa watoto kutokwa jasho jingi kichwani na shingoni ni kawaida saaana, maana bado tezi za jasho za sehemu nyingine kama makwapani hazikomaa kufanya kazi kama kwa watu wazima.
Ila ukiona hali hairidhishi, mtoto analialia sana au kudhoofu sana hiyo si kawaida, vitu vinanywoweza kusababisha hali hiyo ni pamoja na kiwango cha sukari kwenye damu kushuka sana, kiwango cha madini joto kuzidi sana, au huna kansa common kwa watoto wanaita Neuroblastoma, nk.
Hapo ni kwa jasho ambalo halina harufu wala mtoto hachemki.