Msaada: Natokwa na manii (shahawa) mara kwa mara

Msaada: Natokwa na manii (shahawa) mara kwa mara

Chogotz

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2018
Posts
236
Reaction score
105
Habarini Za Mchana Wana JF..
Naombeni Ushauli Juu Ya Hii Shida..

Pale nivuapo nguo ya ndani{boksa} huwa nakuta mabaki ya matone ya manii so najiuliza hali hii ni kawaida au ni ungonjwa?

Naombeni majibu pleaseee...
 
hiyo hutokea kama ni mpiga nyeto maarufu, ama una mfadhaiko na makalio makubwa...kama nimekosea unaruhusiwa kubisha
hapo kwenye nyeto hapaana,pia mm sina msambwanda mkubwa cos n mwenmbamba labda hapo kwenye mfadhaiko ukiwa na maana maflings amaa siooo...
 
Habarini Za Mchana Wana JF..
Naombeni Ushauli Juu Ya Hii Shida..

Pale nivuapo nguo ya ndani{boksa} huwa nakuta mabaki ya matone ya manii so najiuliza hali hii ni kawaida au ni ungonjwa?

Naombeni majibu pleaseee...

Ziwahi uwe unaziweka pale panapostahili kabla hazijakukaukia halafu wenye nazo nyingi nao sasa wakaanza kukuwekea / kukunyunyizia.
 
Pole sana...

Inawezekana ukawa dunga dunga...

Punguza sana kuwawazia wanawake ngono kila uwaonapo...

Cc: mahondaw
 
Utakuwa na kaswende tu mkuu. Nakushauri nenda hospital kwa uangalizi zaidi.
 
Habarini Za Mchana Wana JF..
Naombeni Ushauli Juu Ya Hii Shida..

Pale nivuapo nguo ya ndani{boksa} huwa nakuta mabaki ya matone ya manii so najiuliza hali hii ni kawaida au ni ungonjwa?

Naombeni majibu pleaseee...
Labda kwasababu huwa unafanya kazi ngumu na unakosa mda WA kugegeda.Yaan unachoka sana ikifika jion/usiku PIA huchangia.
 
Back
Top Bottom