Chogotz
JF-Expert Member
- Jan 23, 2018
- 236
- 105
- Thread starter
- #41
asante saana...,ntabadilisha style ya maisha..,ila kitu kinachonsmbua n fillings sana sme tme..Kwa ufupi, hiyo Hali ya kawaida ukichange style ya maisha yako hayo unayoishi nayo itastop....haaah ila comments za JF zengne htr
Humu JF yabd uwe mvmlivu saana bila ya hvyo waweza tukana tukana ovyooo tu [emoji23] [emoji23] [emoji23]