Msaada: Natokwa na manii (shahawa) mara kwa mara

Kwa ufupi, hiyo Hali ya kawaida ukichange style ya maisha yako hayo unayoishi nayo itastop....haaah ila comments za JF zengne htr
asante saana...,ntabadilisha style ya maisha..,ila kitu kinachonsmbua n fillings sana sme tme..

Humu JF yabd uwe mvmlivu saana bila ya hvyo waweza tukana tukana ovyooo tu [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Asante saana mkuu mm n MME na nashukuru kwa ushaur wako...
 
asante saana...,ntabadilisha style ya maisha..,ila kitu kinachonsmbua n fillings sana sme tme..

Humu JF yabd uwe mvmlivu saana bila ya hvyo waweza tukana tukana ovyooo tu [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kweli mkuuuu..ndio ubinadam huo
 
Habarini Za Mchana Wana JF..
Naombeni Ushauli Juu Ya Hii Shida..

Pale nivuapo nguo ya ndani{boksa} huwa nakuta mabaki ya matone ya manii so najiuliza hali hii ni kawaida au ni ungonjwa?

Naombeni majibu pleaseee...
Acha...

1. Kuangalia movie za ngono

2. Kupiga nyeto

3. Kuwazo ngono

4.... Nenda hospital...

NB: Sababu ya 1 na 2 ndio inawrza kuwa chanzo cha tatizo lako....
 
Acha...

1. Kuangalia movie za ngono

2. Kupiga nyeto

3. Kuwazo ngono

4.... Nenda hospital...

NB: Sababu ya 1 na 2 ndio inawrza kuwa chanzo cha tatizo lako....
asante mkuu ntafanya hvyoo..
 
Akili za kuambiwa changanya na zako afu unazifanyia kazi mkuu sasa utatembeaje uchi
 
Hiyo ni hali ya kawaida husababisha kukaa muda mrefu pasipo kukutana na msichana half unawaza ngono kila msichana unayemuona machoni kwako unamtamani
 
Habarini Za Mchana Wana JF..
Naombeni Ushauli Juu Ya Hii Shida..

Pale nivuapo nguo ya ndani{boksa} huwa nakuta mabaki ya matone ya manii so najiuliza hali hii ni kawaida au ni ungonjwa?

Naombeni majibu pleaseee...
Kuna tofaut kati ya manii ...madhii na wadii ...watu wanachanganya hivi vitu ....manii hutoka pale wakat wa kufka kilelen n mazito meupe na harufu flan .....madhii hutoka wakat wa kuchezeana au mtu anapofikir mapenz ..n mepes sana meupe na s mazito ka manii .....tatzo kama ulikuwa ukijichua sana pia inawezakana ....ila chunguza n yap kat ya hayo
 
Hii inasabibishwa Na Kupiga Nyeto za Mara Kwa Mara pamoja Na Kuangalia Pornography wala Hunidanganyi kitu kwa hili.
Mkuu Tayari Nimeshakutambua Kama wewe Ni Mwanachama mwenzetu Wa CHAPUTA.

Acha Kupiga Nyeto utajitibu.
 
Hiyo ni hali ya kawaida husababisha kukaa muda mrefu pasipo kukutana na msichana half unawaza ngono kila msichana unayemuona machoni kwako unamtamani
ahaaa ok asante saana...
 
ok sawa nahsi itakuwa ni madhii mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…