kaaah huko nilishatoka tangu nipo darasa la 7 mkuuHii inasabibishwa Na Kupiga Nyeto za Mara Kwa Mara pamoja Na Kuangalia Pornography wala Hunidanganyi kitu kwa hili.
Mkuu Tayari Nimeshakutambua Kama wewe Ni Mwanachama mwenzetu Wa CHAPUTA.
Acha Kupiga Nyeto utajitibu.
Habarini Za Mchana Wana JF..
Naombeni Ushauli Juu Ya Hii Shida..
Pale nivuapo nguo ya ndani{boksa} huwa nakuta mabaki ya matone ya manii so najiuliza hali hii ni kawaida au ni ungonjwa?
Naombeni majibu pleaseee...
Hilo nalo lawezekana,nliteseka sana waweza zani ni manii kumbe gonorheautakuwa una magonjwa ya ngono... huo ni usaha unafikiri ni manii