Msaada natokwa sana jasho kwapani

Msaada natokwa sana jasho kwapani

Sitachoka

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2011
Posts
3,030
Reaction score
1,306
Wakuu heshima mbele naombeni msaada wenu, natokwa sana jasho kwapani hali inayopelekea kushindwa kabisa kuvaa mashati au tsheti nyeupe maana ulowana kabisa kwapani utafikiri nimemwagiwa maji! kama kuna suluhu naombeni msaada nipo dodoma
 
Nina tatizo kama lako mkuu,tusubiri waje wanaofahamu watujuze
 
Unanyoa nywele za kwapani? Jaribu kutumia poda hua inakata jasho la kwapani hasa ukipata ponds poda ya chungwa itakusaidia sana na uongeze usafi zaid na zaidi then urudishe mrejesho yani kila utokapo basi mimina poda makwapani mwako
 
kunyoa nanyoa mkuu kuhusu usafi najitahidi sana
 
Wakuu heshima mbele naombeni msaada wenu, natokwa sana jasho kwapani hali inayopelekea kushindwa kabisa kuvaa mashati au tsheti nyeupe maana ulowana kabisa kwapani utafikiri nimemwagiwa maji! kama kuna suluhu naombeni msaada nipo dodoma
1. Jitazame upya shughuli zako, kama zimejaa mikikimikiki basi kutokwa sana jasho ni kitu cha kawaida sana
2. Hauna mafuta na maji mengi ya mwili? Nayo hiyo ni sababu kubwa
3. Kama unatumia hydrating lotion halafu unatumia muda kiasi juani basi kutoka jasho ni kitu cha kawaida tu
4. Magonjwa kama vile kisukari, kifua kikuu huchangia pia. Kachunguze afya yako

Ufumbuzi wake
1. Kama haijatokana na magonjwa basi anza kwa kuoga mara kwa mara, kuanzia mara nne kwa siku sio mbaya
2. Kama shida yako kubwa ni jasho basi tafuta vipodozi vya kupaka au kupulizia makwapani vinavyoitwa ''ANTI-PERSPIRANTS''; Kama na harufu mbaya pia imo basi tumia ''ANTIPERSPIRANT-ANTIDEODORANT''.
3. Nyoa nywele za kwapani kila mara zinapoanza kukua
 
Ahsante mkuu shida ni jasho tu
 
Kama ni kwapani tu..tafuta antpersperant solution or cream..pole sana
 
Unatoka jasho wakati gani? Ukiwa unafanya kazi au hata ukiwa umekaa tu? Una stress zozote za maisha? Una umri gani? Kuna sababu nyingi zinaweza kupelekea Hali hiyo inawezekana una matatizo ya homoni ( hormone imbalance) overactive thyroid gland, are you suffering from anxiety? Inaweza kuwa una hidden infection.au vinginevyo tatizo lako linaitwa Hyperhidrosis.
 
Nina miaka 23 kuhusu stress nadhani kila mtu hiyo anayo jasho utoka haka kama sifanyi kazi jasho hutoka hata kama nimekaa kivulini pia hutoka
 
Utafanya jambo la kijinga Kama utaamua kutumia antiperspirant solution cream if you won't rule out some other causes of your symptoms kutumia antiperspirant cream iwe kitu cha mwisho baada ya kuhakikisha huna tatizo lolote la kiafya linalopelekea Hali hiyo! Ni sawa sawa na Uwe na malaria ukajaribu kuitibu na panadol.
 
pole sana;tumia maji ya limao kujioshea kwa siku tatu au wiki moja hii ni kiboko ya deodorant;pia zingatia usafi ;usisahau kurudisha majibu hapa jf;
 
Ahsante sana Mkuu nitaitafuta matumizi yake yapoje?
Inategemea na utakuta ipi na hali yako ikoje..lkn kama alivyosema sokwe..kama ni jasho makwapani peke yake sawa..ila kama ni mwili mzima na pia kuna dalili nyingine kama za kuskia joto kupita kiasi, kusikia njaa mara kwa mara, kushituka na moyo kwenda mbio mara kwa mara, kuumwa kichwa mara kwa mara na pressha ya damu kuwa juuinabidi uchekiwe vzr
 
Back
Top Bottom