NATUMIA EFRAVIRENZ & AVOCOMB :
Naombeni msaada leo siku ya 28 natumia hiz dawa baada ya kupata ajari ya basi nikapewa hizo dawa nikaambiwa nitumie kwa siku 28 lakn kwenye packge vipo vya siku 30 sasa zimenifanya dhaifu sana na nataka kuziacha hizo za siku 2.
MAELEZO ZAIDI:
hadisi yote nitaitoa mara baada ya mwili na akil kukaa sawa ili na wengine wajue!
====================
ajar ndo iliyosabisha nipate majeraha na hatimaye kujikuta nipo ktk mtihan mwingine kama inavyo jieleza hapo chini
¤¤¤¤
siku ya pili yaan tarehe 18. 1. 2014 nikiwa hospital kitandani tuko wawili majeruh kitanda kimoja. kila mmoja na majeraha sehemu mbalimbali na damu zimetutapakaa mpaka kwenye kava la kitanda.
baada ya dokta kufika jamaa yangu alimuuita pemben, sijui walichoongea zaid ila dokta alirudi kwangu na kunipeleka chumbani anakotibia na kuanza kunishawishi nikapime HIV, Nilimuuliza mengi lkn hakunijibu zaid ya kunisih kupima.
Nilikubali na.
majibu yakawa N-. Hapo ndo dokta aliponiambia ukwer kuwa kwanza nina bahati kwa kuwa mgonjwa mwenzangu(majeruh niliye lala naye) anajitambua na hataki kuangamiza wezake. kwa kifupi dokta alinieleza kuwa mwenzangu ni mwathilika ndo alivyomwambia.
akanishaur na kuniambia zipo dawa ambazo anaweza kunipa kama nitakuwa tayari
Ili kujiridhisha nilimwomba dokta achukue damu ya mwenzangu apime na mimi nikiwepo. Alifanya hvyo na majibu yakawa Postive of HIV-2. Nilitokwa na machozi ikizingatiwa
1.tumetapakaa damu na majera mwil mzima
2.kitanda na mashuka yalijaa damu kana kwamba uwezekano wa kugusa damu ya mwingine ulikuwa hauepukiki
3.ndo nilikuwa nimetoa Posa kama miez 3 kabla ya hlo tukio.
4.ndo nilikuwa nina miez kama 5 baada ya kuhitimu shahada yangu ya kwanza.
...............................
Leo ni miez 2 na siku 4.(20/3/2014) Nimepima jumamos ya tarehe 15.03.2014 bado nipo Negative.
..............
Kumbuka maelezo juu ya mimi,majeruhi mwenzangu na dokta nimejitahdi kuyafupisha kwani siwezi kuandika kila kitu. Nitarudi kupima tarehe 18.4.2014. Kwa mjibu wa dokta anayefuatilia afya yangu kwa sasa.