Msaada: Natumia pep for hiv

Msaada: Natumia pep for hiv

bCg

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2014
Posts
438
Reaction score
900
NATUMIA EFRAVIRENZ & AVOCOMB :
Naombeni msaada leo siku ya 28 natumia hiz dawa baada ya kupata ajari ya basi nikapewa hizo dawa nikaambiwa nitumie kwa siku 28 lakn kwenye packge vipo vya siku 30 sasa zimenifanya dhaifu sana na nataka kuziacha hizo za siku 2.
MAELEZO ZAIDI:
hadisi yote nitaitoa mara baada ya mwili na akil kukaa sawa ili na wengine wajue!
====================
ajar ndo iliyosabisha nipate majeraha na hatimaye kujikuta nipo ktk mtihan mwingine kama inavyo jieleza hapo chini
¤¤¤¤
siku ya pili yaan tarehe 18. 1. 2014 nikiwa hospital kitandani tuko wawili majeruh kitanda kimoja. kila mmoja na majeraha sehemu mbalimbali na damu zimetutapakaa mpaka kwenye kava la kitanda.
baada ya dokta kufika jamaa yangu alimuuita pemben, sijui walichoongea zaid ila dokta alirudi kwangu na kunipeleka chumbani anakotibia na kuanza kunishawishi nikapime HIV, Nilimuuliza mengi lkn hakunijibu zaid ya kunisih kupima.
Nilikubali na.
majibu yakawa N-. Hapo ndo dokta aliponiambia ukwer kuwa kwanza nina bahati kwa kuwa mgonjwa mwenzangu(majeruh niliye lala naye) anajitambua na hataki kuangamiza wezake. kwa kifupi dokta alinieleza kuwa mwenzangu ni mwathilika ndo alivyomwambia.
akanishaur na kuniambia zipo dawa ambazo anaweza kunipa kama nitakuwa tayari
Ili kujiridhisha nilimwomba dokta achukue damu ya mwenzangu apime na mimi nikiwepo. Alifanya hvyo na majibu yakawa Postive of HIV-2. Nilitokwa na machozi ikizingatiwa
1.tumetapakaa damu na majera mwil mzima
2.kitanda na mashuka yalijaa damu kana kwamba uwezekano wa kugusa damu ya mwingine ulikuwa hauepukiki
3.ndo nilikuwa nimetoa Posa kama miez 3 kabla ya hlo tukio.
4.ndo nilikuwa nina miez kama 5 baada ya kuhitimu shahada yangu ya kwanza.
...............................
Leo ni miez 2 na siku 4.(20/3/2014) Nimepima jumamos ya tarehe 15.03.2014 bado nipo Negative.
..............
Kumbuka maelezo juu ya mimi,majeruhi mwenzangu na dokta nimejitahdi kuyafupisha kwani siwezi kuandika kila kitu. Nitarudi kupima tarehe 18.4.2014. Kwa mjibu wa dokta anayefuatilia afya yangu kwa sasa.
 
NATUMIA EFRAVIRENZ & AVOCOMB :
Naombeni msaada leo siku ya 28 natumia hiz dawa baada ya kupata ajari ya basi
nikapewa hizo dawa nikaambiwa nitumie kwa siku 28 lakn kwenye packge vipo vya siku 30
sasa zimenifanya dhaifu sana na nataka kuziacha hizo za siku 2

Sijaelewa kama unaposema umepata 'ajali ya basi' ni lugha ya picha au ni msemo, lakini ningekushauri kumalizia 'matibabu' Post Exposure Prophylaxis(PEP).

Dawa hizo zinachosha na kufanya mwili dhaifu lakini umebakiza dawa za masaa 48 tu. Jipe moyo, umalizie.
 
tulipata ajar,kwa sasabu ya kuogopa maambukizi kuna bazi yetu nikiwepo mi niliomba dawa kama sehemu ya tahadhar
 
NATUMIA EFRAVIRENZ & AVOCOMB :
Naombeni msaada leo siku ya 28 natumia hiz dawa baada ya kupata ajari ya basi
nikapewa hizo dawa nikaambiwa nitumie kwa siku 28 lakn kwenye packge vipo vya siku 30
sasa zimenifanya dhaifu sana na nataka kuziacha hizo za siku 2

ukipata ajali unakunywa dawa cku hz?
 
ukipata ajali unakunywa dawa cku hz?

tunakoelekea itabidi kila MTU awe anapanda gari lake. no public transport. na tukishafika huko tunarudi kuuuuleee, kwenye tufe wengi. hii ni hatari
 
Utajisikiaje ukaacha halafu ukaambiwa ukimwi uliingia siku mbili za mwisho? Jikaze kiume jombaa.

Sent from my Nokia Lumia using Tapatalk
 
Utajisikiaje ukaacha halafu ukaambiwa ukimwi uliingia siku mbili za mwisho? Jikaze kiume jombaa.

Sent from my Nokia Lumia using Tapatalk

asante!
 
Pole sana kwa ajali. Mimi nakushauri tu ukaze moyo umalizie tu. Jipe moyo na nakuombea uepukane na baya lolote.
 
Malizia dose..PEP zinatesa sana lakini...hiyo sababu ya kuanzishiwa PEP inashangaza kidogo
 
NATUMIA EFRAVIRENZ & AVOCOMB HIO RED NDIO NINI na kwanini? upo Tanzania au?
 
NATUMIA EFRAVIRENZ & AVOCOMB :
Naombeni msaada leo siku ya 28 natumia hiz dawa baada ya kupata ajari ya basi
nikapewa hizo dawa nikaambiwa nitumie kwa siku 28 lakn kwenye packge vipo vya siku 30
sasa zimenifanya dhaifu sana na nataka kuziacha hizo za siku 2

Kwa PEP wiki 4, sawa na siku 28 zinatosha kabisa. hivyo vya siku 2 unaweza kuviacha bila tatizo, au ukiweza kumaliza sawa tu; NO DIFFERENCE!
 
Hii sababu ya kuanzishiwa PEP kwa kweli bado haijakaa vizuri haiingii akilini vizuri. Hii itakua PEP on patient request than medical grounds. Ningeomba mleta mada atupe scenario iliyopelekea yeye kupewa PEP ili na wengine wapate nafasi ya kujifunza. Anyway ndio ushakunywa ushavumilia kwa siku 28 mbili sidhani kama ni issue malizia tu.
 
mmmh mbna kama dawa za ngoma hzo??? kumbe hata kabla ya mambo unaweza ztumia ka kinga... tehteh teh teh
 
Zipo dawa within 24hrs utakapomeza zinaweza kukuprotect na "sindimba"aka ngoma!
 
umepima na ukagundua maambukiz yeyote?
sasa tahadhar na hosp.zipo? pole kwa ajali ila kuliko kumeza tahadhari si ungepima kabisa? maana unakaribia mwez sasa..au?
 
umepima na ukagundua maambukiz yeyote?
sasa tahadhar na hosp.zipo? pole kwa ajali ila kuliko kumeza tahadhari si ungepima kabisa? maana unakaribia mwez sasa..au?

PEP ni dawa zinazo zuia maambukizi pale ambapo,kwa mfano,dr akijichoma na kifaa alicho jichoma mgonjwa wa HIV,Huanzishiwa doz withn 24-72hrs.
 
Mkuu bado tu hujapata nafuu uje ufunguke tuelewe!!
 
Back
Top Bottom