Msaada: Natumia pep for hiv

Msaada: Natumia pep for hiv

hujui! Pole halafu kipi ni boro kat ya tahadhar na tiba? POA madam sio wewe ndo maana unaona haina maana.

Elim tatizo ndugu ndio maana madam anashangaa, hata mm ndio kwanza naipata hapa na nnashangaa.
 
Kwa kweli kwangu hii ni elim mpya kabisaaaaa haijatolewa hata karatasi, mtoa mada naomba elim zaidi, ilikuwaje kuwaje na hiyo ajali ilikuwaje mapka mkafikia hatua hiyo au mwenye uelewa atusaidie.
 
Back
Top Bottom