Msaada: Nautafuta huu wimbo

Msaada: Nautafuta huu wimbo

nzalendo

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2009
Posts
12,106
Reaction score
12,916
Sijui nitaupataje.

Unaimbwa na kwaya za kilutheri. Haya ni baadhi ya maneno:

"Imetupasa kushukuru mno kwa neema yake....mimi na wewe leo wazima, hiyo ni neema...wenzetu hawapo wamekosa nini.....hawakuamka wazima....”
 
Kuna Mahali nimeupata kipande
 
Sijui nitaupataje.

Unaimbwa na kwaya za kilutheri. Haya ni baadhi ya maneno:

"Imetupasa kushukuru mno kwa neema yake....mimi na wewe leo wazima, hiyo ni neema...wenzetu hawapo wamekosa nini.....hawakuamka wazima....”
Dr Ipyana,

Niseme nini (Baba ninakushukuru)

Ucheki you tube,kama ndio wenyewe nitakuwekea Audio hapa.
 
Dr Ipyana,

Niseme nini (Baba ninakushukuru)

Ucheki you tube,kama ndio wenyewe nitakuwekea Audio hapa.
Nimeupata kipande.......Sasa nauhitaji kamili.......tafaadhali......pia uwe umeimbwa na kwaya nyingine......natanguliza shukran
MEDIA=youtube]q_dRsLRYhn8[/MEDIA
 
Back
Top Bottom