PlayBoyMwema
JF-Expert Member
- Jul 27, 2014
- 1,714
- 1,829
dogo acha kula zege
Dooh pole. Soma nguzo umeme utaona vibao wanatibu tatizo lako
Ahaaa mbna situmii hizo vitu mzaz
Vuta bangi nyingi kabla ya game
Onana na Dr Manyaunyau au Prof. Maji Marefu.
Vuta bangi nyingi kabla ya game
nitakusaidia kadri ya uwezo wangu, jitahidi kufanya mazoezi ya viungo kila siku, kunywa maji mengi, pata muda mzuri wa kupumzika, kula chakula halisi kwa wingi, ugali wa dona, usipendelee vitu vya mafuta, jitahidi kutokuwa na stress, na kuwa na chemistry na hiyo kitu na hasa ujiandae kiakili kabla ya kufanya hyo mambo (uwe na muda mwingi wa maandalizi), jitahidi katika milo yako usikose pilipili na tangawizi kwa wingi, kwa maelezo zaidi ni pm kaka
ww tuliza mawazo acha kupania game kiivyoo, jitahidi kufanya mazoezi ya viungo then mambo yatakuwa poa, usiwaze sana tatizo wakati wa mechi ili uwe strees free sawa mkuu?
Dah kwa bahat mbaya nimeokoka mkuu situmii kilev chochote