PlayBoyMwema
JF-Expert Member
- Jul 27, 2014
- 1,714
- 1,829
Habar zenu wadau wa JF naombeni msaada wenu mwenzenu ninasumbuliwa na tatizo la kuwahi kufika kilelen mapema nikiwa nasex na mpenz wangu kibaya zaid baada ya hapo sitaman tena kuendelea kufanya hilo tendo najikuta mwili hauna nguvu kias kwamba wasichana wamekuwa wakinikimbia mara kwa mara kwa vile siwatimizii haja yao hili tatizo limenianza yapata mwezi wa tatu huu kipind cha nyuma nilikuwa safi tu lakin saiv nashindwa hata kwenda raundi mbili...nisaidien jaman na mimi nifurahie mapenz kama wengine