Msaada:Nawahi kufika kilelen mapema ndani ya dk 10 tu


Nimeipenda hii. Pia ale sana ndizi, maboga, mboga aunge mbegu za maboga au alizeti. Ajitahidi kuepuka vyakula kama nyama nyekundu na asinywe kahawa au chai, pombe, cola, kabla ya kwenda kulala. Hapo kwenye red, ndio nini?
 
pole yako kwakifupi huna nguvu zakiume ni tatizo hilo itafikia stage hata wiki mwezi huna hamu wala hufanyi na ukitaka kuduu unakua unalazimishwa, nipm upesi nikupatie dawa ili uepukane na hiyo adha

Sawa nakuja sasa hiv unielekeze hiyo dawa
 
Dah hadi nionane na waganga wa kienyeji ina maana hakuna tiba kwenye hospital za kawaida?

kumbe unajua kuna hospitali, jukwaa hili la habari ulifata nini? mara mia ungeenda jukwaa la wana MMU, pengine ungekutana na watalam kuliko hata wa mahospitalini.

kwa upeo wangu mdogo, nashauri unapokua mchezoni pindi unapokaribia kushuti mpira wa kufunga gori, jaribu kupotezea kwa kutokufunga gori hilo, vuta pumzi kidogo bila kutoka uwanjani, then fanya kama unaanza upya huku ukichukulia ni mchezo wa kawaida na sio kitu cha ajabu. ukijaribu hiyo waweza cheza mchezo karibu hata nusu saa bila ya gori la kwanza.
 
punguza umala hlo nitatzo moja wapo,nasema hvyo kwakua maelezo yako yanaonyesha haupo nampenzi mmoja hl nitatzo moja wapo.
 
Ujue ili ueze tibu ttzo lazma utuambie kinaga ubaga nn ttzo hasaa,ujasema!ila kw faida yako tuu acha uzinzi usi taste mbunya sio bidhaa ile,tulia fany kaz au vibarua ukiwa na hela ya ku pay bills muhm ndo stress znaisha na cmfdance itakuepo na ngv za kiume zitakuja tena vzr tuu
 
Kama umeokoka acha uzinzi oa! We unadhani kuvuta bangi ndo utachafua ulokole wako lakini uzinzi ni halali katika maisha ya wokovu wako?
Na kama ameokoka kwaninia asifuate solution kwa yesu kristo kaja humu..
 

Kweli mkuu. Muite

Cha muhimu ni point 3,haijalishi bao ni ngapi,funga kadri ya uwezo wako..
 
Last edited by a moderator:
Duh we jamaa kwani lengo la kuduu ni nini? Moja haitoshi kuzaa mtoto? Acha kuwaza ngono, fanya kazi hayo mawazo yatakwisha
 
punguza umala hlo nitatzo moja wapo,nasema hvyo kwakua maelezo yako yanaonyesha haupo nampenzi mmoja hl nitatzo moja wapo.

Ni kweli mkuu huyu anaonekana kakomaa kwenye umalaya na ulokole wake fake. Acha zinaa kama huwezi oa ili utulie. Pamoja na hzo dawa unazotafuta usipoacha kuna dalili ya kuanguka "jukwaani"
 
pole yako kwakifupi huna nguvu zakiume ni tatizo hilo itafikia stage hata wiki mwezi huna hamu wala hufanyi na ukitaka kuduu unakua unalazimishwa, nipm upesi nikupatie dawa ili uepukane na hiyo adha

Baada ya matumiz ya dawa utakayompa sharti aje atoe mrejesho kwako kama kweli imemsaidia,andaa papuchi kwa majarbio mheshimiwa Dokta
 
Nachukia tabia ya watu kuanza kujadili iman yangu badala ya kunipa msaada juu ya tatizo linalonisibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…