Mchumia Rungu
JF-Expert Member
- Apr 26, 2013
- 1,438
- 826
nitakusaidia kadri ya uwezo wangu, jitahidi kufanya mazoezi ya viungo kila siku, kunywa maji mengi, pata muda mzuri wa kupumzika, kula chakula halisi kwa wingi, ugali wa dona, usipendelee vitu vya mafuta, jitahidi kutokuwa na stress, na kuwa na chemistry na hiyo kitu na hasa ujiandae kiakili kabla ya kufanya hyo mambo (uwe na muda mwingi wa maandalizi), jitahidi katika milo yako usikose pilipili na tangawizi kwa wingi, kwa maelezo zaidi ni pm kaka
Nimeipenda hii. Pia ale sana ndizi, maboga, mboga aunge mbegu za maboga au alizeti. Ajitahidi kuepuka vyakula kama nyama nyekundu na asinywe kahawa au chai, pombe, cola, kabla ya kwenda kulala. Hapo kwenye red, ndio nini?