PlayBoyMwema
JF-Expert Member
- Jul 27, 2014
- 1,714
- 1,829
- Thread starter
-
- #41
Waliookoka hawazini kama wewe unavozini, shenz. kabisa do you know meaning ya kuokoka ama unatamka tu.
Baada ya matumiz ya dawa utakayompa sharti aje atoe mrejesho kwako kama kweli imemsaidia,andaa papuchi kwa majarbio mheshimiwa Dokta
Ni kweli mkuu huyu anaonekana kakomaa kwenye umalaya na ulokole wake fake. Acha zinaa kama huwezi oa ili utulie. Pamoja na hzo dawa unazotafuta usipoacha kuna dalili ya kuanguka "jukwaani"
Duh we jamaa kwani lengo la kuduu ni nini? Moja haitoshi kuzaa mtoto? Acha kuwaza ngono, fanya kazi hayo mawazo yatakwisha
Na kama ameokoka kwaninia asifuate solution kwa yesu kristo kaja humu..
Ujue ili ueze tibu ttzo lazma utuambie kinaga ubaga nn ttzo hasaa,ujasema!ila kw faida yako tuu acha uzinzi usi taste mbunya sio bidhaa ile,tulia fany kaz au vibarua ukiwa na hela ya ku pay bills muhm ndo stress znaisha na cmfdance itakuepo na ngv za kiume zitakuja tena vzr tuu