Msaada:Nawahi kufika kilelen mapema ndani ya dk 10 tu

Msaada:Nawahi kufika kilelen mapema ndani ya dk 10 tu

Baada ya matumiz ya dawa utakayompa sharti aje atoe mrejesho kwako kama kweli imemsaidia,andaa papuchi kwa majarbio mheshimiwa Dokta

Ikinisaidia ntakuja kutoa huo mrejesho haina shida
 
Ni kweli mkuu huyu anaonekana kakomaa kwenye umalaya na ulokole wake fake. Acha zinaa kama huwezi oa ili utulie. Pamoja na hzo dawa unazotafuta usipoacha kuna dalili ya kuanguka "jukwaani"

Asante kwa kupewa nguvu ya kuhukumu binadam mwenzio kwa maneno makali kama hayo
 
Ujue ili ueze tibu ttzo lazma utuambie kinaga ubaga nn ttzo hasaa,ujasema!ila kw faida yako tuu acha uzinzi usi taste mbunya sio bidhaa ile,tulia fany kaz au vibarua ukiwa na hela ya ku pay bills muhm ndo stress znaisha na cmfdance itakuepo na ngv za kiume zitakuja tena vzr tuu

Sawaaa...mkuu
 
Back
Top Bottom