Msaada: Nawashwa Sana baada ya kuoga

Msaada: Nawashwa Sana baada ya kuoga

Acha kuogea Maji ya Mvua pia kacheki Malaria
 
Jaribu yafuatayo
Oga bila sabuni
Oga na sabuni ya kawaida kama zile za kufulia
Oga na medicated soap kama vile dettol
Oga maji ya moto bila sabuni

Cheki kama utapata ahueni mahali mojawapo hapo juu
 
Jaribu yafuatayo
Oga bila sabuni
Oga na sabuni ya kawaida kama zile za kufulia
Oga na medicated soap kama vile dettol
Oga maji ya moto bila sabuni

Cheki kama utapata ahueni mahali mojawapo hapo juu
Katikati ya hizo solution ndo kuna moja litamfaa Mimi nilijaribu zote iliyofaa Ni kuoga maji ya moto na sabuni tu bila lile dodoki gumu.. Hiyo Ni baada ya kwenda Sana hospital nishakunywa ile ya vidonge 60 wanasema et Ni mchafuko Wa damu hawa Ma Dr wetu..


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamani msaada maana ishakuwa kero,nikishaoga tu Nawashwa Sana mgongoni na kichwani,nachomwa chomwa , tatizo linaweza likawa nini

Sent using Jamii Forums mobile app
Unatumia maji ya mvua,kisima,bwawa,mito au Bomba kukoga,

Au unatumia sabuni aina gani je ya unga,kipande KISICHO rasmi kuogea yaan mbuni,magadi,kanga nk

Au una tumia sabuni RASMI za kipande za kukogea mf. Gardenia,Lux,Emperial,Geisha nk? Tuanzie hapo kwa USHAURI bora
 
Nilikua na tatizo kama hilo ila sijui sababu iliyofanya hiyo hali kuacha. Ilifika kipindi hali hali ikaacha yenyewe.
 
Oga maji ya moto halafu tumia kitambaa laini usitumie yale madodoki yanayosugua kama steel wire linavyosugua sufuria... Majibu utayaona baada ya siku chache tu
 
Hili tatizo kubwa ninakuwaga nalo linakujaga na kuondoka hivyo sijui nini maji ni ya Dawasco ila kuna uzi umo humu jukwaa la maktari walieleza na sababu niwa muda mrefu sana takribani miaka 5 na zaidi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom