Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nenda kapime Hospitali utakuwa na Allergy ya kuwashwa washa labda kuna vyakula unavyokuala haviendani na damu yako kapime hospitali utagunduwa sababu ya kuwashwa washwa NgonepiKwa wataalamu wa afya na wenye uzoefu katika hili.
Hivi tatizo linaweza kuwa ni nini? Nawashwa sana viganjani, mikononi upande wa nyuma na kwenye vikanyagio vya miguu upande wa juu! Pia kwenye viwiko vya mikono.
Nitakuwa na shida gani!?
Nisaidieni please.