Msaada naweka bond vyeti vyangu kwa laki saba

Msaada naweka bond vyeti vyangu kwa laki saba

Kile cheti chako cha diploma upper second class ulichokuja kukinadi hapa kwa mbwembwe na dharau kibao "et magufuri kasema chuoni tunaenda vipanga tu" leo unataka kukiweka bond? Sasa mbona vipanga tu mlioenda chuo hamjapewa mkopo?
Duuu jf noma.kweli usitukane wakunga
 
Pole sana mkuu. Ukikwama kabisa nenda uongozi wa chio bila shaka watakusaidia tena ikiwezekana waambie unaweka vyeti vyako. Ila mkuu vyuo bado havijafungwa kwani
 
Pole sana mkuu. Ukikwama kabisa nenda uongozi wa chio bila shaka watakusaidia tena ikiwezekana waambie unaweka vyeti vyako. Ila mkuu vyuo bado havijafungwa kwani
Bado Chuo cha usafirishaji NIT
 
Nakushauri tafuta dhamana nyingine ila sio vyeti maybe laptop ila vyeti hapana aisee maana havitamsaidia atakaekukopesha
 
Mambo yamenifika shingoni wakubwa tunaosoma chuo bila mkopo ni shida tupu.
Nimeamua kuweka vyeti vyangu bond kwa mtu atakae nisaidia laki saba nilipe chuo ili niweze kufanya mtihan ulioanza leo hii. 13/08/2018
1. Cheti cha form 4
2. Certificate ICT
3. Diploma in computer science
4. Jamaan naongeza na laptop yangu wakubwa
Asanteni ikiwezekana leo leo
Niuzie hyo laptop
 
duuh yaani mtu una certificate, diploma bado unaangaika na degree kweli elimu hajakukomboa! nakuhurumia sana
 
Back
Top Bottom