Msaada; Naweza kuomba mkopo kusoma shahada nyingine nikiwa bado nina mkopo?

icon_2000

Senior Member
Joined
Jul 14, 2024
Posts
193
Reaction score
276
Kwanza nashukru, nyote ni wazima wa afya .

Naombeni kuuliza hivi, ukisoma education na ulipata mkopo kama unataka kuongeza degree nyingine mara baada ya kihitimu. Unarudisha mkopo kwanza ndo uombee tena ??

Na kama ushaanza chuo kwa muda wa mwaka 1, je inawezekana kufuta usajili uka apply upya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…