Sa 7 mchana
JF-Expert Member
- Dec 30, 2018
- 5,214
- 10,276
Wakuu habarini,
Naomba kuuliza jambo hili moja, kuwa naweza pata huduma ya kiubalozi kwenye nchi isiyo yangu ikiwa pia balozi hiyo ipo nchini kwangu.
Mfano nafukuzia visa ya aina fulani ambayo nchi yangu haina au sio eligible, je, ninaweza kwenda nchi nyingine na kuomba aina hiyo hiyo ya visa na kukubalika?
Nawasilisha.