Kwenye mambo ya kuomba Visa ikiwa hakuna ubalozi sina uzoefu ila ikiwa utapatwa na shida yeyote na hakuna ubalozi wa Tanzania hapo unaweza kwenda ubalozi wa Uingereza ukapewa msaada kwa niaba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. I think hiyo griund itakua inacover humanitarian ground more.