Sa 7 mchana
JF-Expert Member
- Dec 30, 2018
- 5,214
- 10,276
Ebhana eeh kimeumana, nataka niende nchi moja wapo ya SADC sijui itakuwaje!!!Inawezekana kama una resident permit Kwa nchi utakayoombea.
Nchi kama Marekani inashauri uombe viza yao kwenye nchi yako, na kama utalazimika kuomba nje ya nchi yako basis kwenye nchi hiyo use na makazi halali ya kudumu.
Elezea shida yako ili usaidiwe maelezo toshelezi siyo unarukaruka tu kama bata bikini.Ebhana eeh kimeumana, nataka niende nchi moja wapo ya SADC sijui itakuwaje!!!
Nchi gani ya sadc haina ubalozi kwetu?Ebhana eeh kimeumana, nataka niende nchi moja wapo ya SADC sijui itakuwaje!!!
Nataka niende nikaombe nikiwa katika nchi moja wapo ya SADCNchi gani ya sadc haina ubalozi kwetu?
Nchi gani ya sadc haina ubalozi kwetu?
Jipange upya, unachofikiria wewe usidhani wazungu hawana akili.Nataka niende nikaombe nikiwa katika nchi moja wapo ya SADC
Kama ndio hivyo ase ngoma imedunda pakubwa.Kama mtanzania mfano upo South Africa na unataka enda UK au USA .Utapewa Visa na Ubalozi wa UK South Africa au wa USA iwapo una Residence Permit ya South Africa (iwe ya kikazi au student) kama una just normal Visa ya aina yeyote ile Utopewa Visa. Hapa Tanzania Mfano Muhindi au Mnaigeria awezi pewa visa na Ubalozi wa USA au Canada au China uliopo Dar es salaam. Kama ana Residence Permit (iwe work permit au Student permit) anatakiwa aende nchini kwao akaiombe
Wewe unataka visa ya wapi na upo nchi gani?Kama ndio hivyo ase ngoma imedunda pakubwa.
nipo Tozo LandWewe unataka visa ya wapi na upo nchi gani?
🤣🤣🤣kuna Program October 2022 Kwa Mzee Obama njoo Chimbo nikupe Code😁😁nipo Tozo Land
nishakucheki mwanetu🤣🤣🤣kuna Program November hii Kwa Mzee Obama njoo Chimbo nikupe Code😁😁
Hizi chimbo ndio zinasababisha wabongo kuwa wachache mamtoni na kukosa connection.🤣🤣🤣kuna Program November hii Kwa Mzee Obama njoo Chimbo nikupe Code😁😁
🤣🤣🤣kuna Program November hii Kwa Mzee Obama njoo Chimbo nikupe Code😁😁
Ombeni nanyi mtapewa! Weka hapa hizo fursa basi ili watu Waende kula mabaga na mapiza kwa Mzee BidenHizi chimbo ndio zinasababisha wabongo kuwa wachache mamtoni na kukosa connection.
Fursa za kuingia Marekani zipo wazi wala siyo kificho, kuna program nyingi tu za kila mwaka.
Hizo code kwa nini usitoe hapa hapa ili wazoefu waongezee nyama wasafiri hawana mambo ya inbox ni hapa hapa mazee...kama ni tango pori unaambiwa hapo hakuna safari🤣🤣🤣kuna Program November hii Kwa Mzee Obama njoo Chimbo nikupe Code😁😁
Ombeni nanyi mtapewa! Weka hapa hizo fursa basi ili watu Waende kula mabaga na mapiza kwa Mzee Biden
Jamaa nimeshamfungukia code na mpaka namba ya Simu ya afisa wa Ubalozi wa USA Dar es salaam pale opp na Ostabay Police nimeshampatia na iwapo anataka msaada zaidi ntampatia PM! Humu kuna vichaa, wenye msongo wa mawazo, Wapumbavu, Wajuaji, waliokata tamaa etc- ata wewe unaonekana una matatizo . matango pori ndo kitu gani??Hizo code kwa nini usitoe hapa hapa ili wazoefu waongezee nyama wasafiri hawana mambo ya inbox ni hapa hapa mazee...kama ni tango pori unaambiwa hapo hakuna safari