Msaada- Naweza kushtaki kampuni ya simu?

Msaada- Naweza kushtaki kampuni ya simu?

SG8

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2009
Posts
3,955
Reaction score
2,133
Wana bodi

Takribani miezi minne iliyopita nilibaini kwamba mawasiliano yangu na watu wengine kupitia simu ya mkononi yalikuwa yanafuatiliwa i.e kuna mtu ambaye naamini ni mfanyakazi wa kampuni husika alishiriki kufuatilia mawasiliano yangu na mtu mwingine na kila mara alitoa taarifa kwa mtu wa 3. Nilibaini hili baada ya siku moja kupiga simu kwa huyo rafiki yangu na baada ya muda huyo rafiki yangu alipigiwa simu na mtu mwingine na kumweleza kuwa sasa hivi "umewasiliana na fulani".

Nataka ushauri hapa nianzie wapi? TCRA? kwenye kampuni husika (naihifadhi kwa sasa) au niende polisi? Namba ya huyo mtu ninayo na ushahidi wa kutosha ninao.

Naomba msaada wenu
 
Back
Top Bottom