Msaada: Naweza kuua ndege wawili (Plaster na Skimming) kwa kutumia White Cement?

Msaada: Naweza kuua ndege wawili (Plaster na Skimming) kwa kutumia White Cement?

Hapo kuna tatizo tiles hazijajengwa vyema au graut haijawekwa vyema na kama graut uko Sawa mifumo ya maji ona vuja Kwa ndani ndo maana hayo mabaka inayaona.
Hapa ni dinning ila ukuta wa bafuni pamoja kuna tiles ila inavyonza maji inaharibu ukuta wa dinning ingekua nimepiga ndani white cement hili lisingetokea,View attachment 1606971
 
Tumia white cement ni bomba zaidi
,

Mimi nilitumia white cement nje kote ndani nikatumia powder,ila ningejua ningepiga white cement ndani na nje inakua safi sana
0769 745533 nikushauri ki taalamu
 
Naombeni msaada wa ujenzi, eti unaweza kupiga plasta kwenye ukuta kwa kutumia white cement na ikawa umepiga ndege wawili kwa wakati mmoja yaani gharama za plasta ya kawaida na ya ku-skim baadae?
Gypsum powder / iko aina 2 water proof na isiyo wayer proof vumbi tu hili vumbi linafaa kwa Dari na mikanda ila halifai popote, waterproof gypsum powder unaweza skim ndani kutani japo si imara inakwanguka kiwepesi ama kuachana na rangi inapokwanguliwa hata na kona ya Meza / White cement inafaa ikipakwa ktk layer coat ya mm 2 hivi na inahusu pia plastering keys kuruhsu bonding kati ya white cement na plaster, pia ikiwa skiing ni zaidi ya 2 mm layer coats iwe ni white cement ama gypsum tegemea kubanduka baada ya mda flani baada ya jua na mvua kupiga exterial walls na ndani unyevunyevu unaweza bandua pia
 
Piga plaster na cement za kawaida, baade kwenye skimming tumia white cement kwa nje na kama unataka kutumia powder ndani sio mbaya hutaona mipasuko wala fungas, nje ni ni lazima utumie white cement kwaajili ya weather
Mimi naelewa nje tumia saruji na chokaa iliyochanganywa vipimo sawa yaani mfuko wa saruji 1 kwa 1 wa chokaa kwa plasta ya nje au hata ndani. Huu mchezo wa skimming umeanza sijui vipi. Gharama zinaongezeka tu. Hapa naishi jengo la 1980. sijaona plaster yake inaharibika labda maeneo ya chini ya kuta za nje yanayosababishwa na matone ya mvua yanayoruka toka ardhini yenye chumvi.

Hili nimelithibiti kwa kuweka tena plasta iliyochanganywa na chokaa. NINYI ENDELEENI NA SKIMMING ZENU. watu walikosa mahali pa kutupa mabaki ya viwanda yanayozalisha white cement wakaanza skimming. Tulikuwa tunapata kiwanda kinachozalisha gesi hayo majitu sasa yamekewa fasheni.
 
Mimi naelewa nje tumia saruji na chokaa iliyochanganywa vipimo sawa yaani mfuko wa saruji 1 kwa 1 wa chokaa kwa plasta ya nje au hata ndani. Huu mchezo wa skimming umeanza sijui vipi. Gharama zinaongezeka tu. Hapa naishi jengo la 1980. sijaona plaster yake inaharibika labda maeneo ya chini ya kuta za nje yanayosababishwa na matone ya mvua yanayoruka toka ardhini yenye chumvi. Hili nimelithibiti kwa kuweka tena plasta iliyochanganywa na chokaa. NINYI ENDELEENI NA SKIMMING ZENU. watu walikosa mahali pa kutupa mabaki ya viwanda yanayozalisha white cement wakaanza skimming. Tulikuwa tunapata kiwanda kinachozalisha gesi hayo majitu sasa yamekewa fasheni.
Unaweza kuta hata hujaelewa sijui maana ni kama umedandia gari kwa mbele, nilichomaanisha plast itapigwa na saruji then skyming inatandikwa saruji nyeupe na rangi inapigwa skimming na nyumba inakua imara tu tena zaidi, sasa sijui kama umejua kuwa kitu ni kile kile
 
Back
Top Bottom