Msaada: Nawezaje kuacha tabia ya kuongea peke yangu?

unatakiwa saivi uwe mi..... GENTAMYCINE
 
Hakuna kitu kinaitwa kuongea peke yako unakuwa unaongea na pepo likemee kwa Jina la Yesu lisikuongeleshe
 
Jamaa ana hallucination wewe unampotosha
 
Ni jambo la kawaida wengi tupo umo ..mfano Mimi inanisaidia sana kupata mbinu za kibaharia za kupiga ela au kuopoa beibe mkali.
 
Napishanaga na watu wa design yako najiuliza kuna nini, unamuona tu anaongea mwenyewe kwa mda mrefu,
Ni hali ya kawaida kama hupati tatizo lolote.
 
Ndo nini hii fafanua.
Inawezekana kila kitu kina side effect fafanua hiyo ni nini?
Nadhani ni ile hali ya kuimagine vitu na kuona kama vipo kweli, kwa mfano unaweza kuimagine kitu na kikakupa furaha kabisa hali ya kuwa ni mawazo tu ..
 
Napishanaga na watu wa design yako najiuliza kuna nini, unamuona tu anaongea mwenyewe kwa mda mrefu,
Ni hali ya kawaida kama hupati tatizo lolote.
Tofauti ni kwamba mimi siongei peke yangu barabarani ..
 
Huyu ni mimi kabisa namm nikifumwa hupretend km naimba yaani
 
Nadhani ni ile hali ya kuimagine vitu na kuona kama vipo kweli, kwa mfano unaweza kuimagine kitu na kikakupa furaha kabisa hali ya kuwa ni mawazo tu ..
Una kitu kinaitwa intrusive imagination...ukikifanyia kazi unaweza kutoka na wazo bora sana hasa kwenye ubunifu wa sanaa na sayansi
 
Yaani wewe upo kama mimi na kwangu mimi taaluma yangu ni sheria so kila nikiwa peke yangu ikitokea issue yoyote iwe nimesoma au kusikia sehemu naanza kuongea kwa kujenga hoja za pande zote mbili!
Tupo wengi
 
Una kitu kinaitwa intrusive imagination...ukikifanyia kazi unaweza kutoka na wazo bora sana hasa kwenye ubunifu wa sanaa na sayansi
Shukrani sana mkuu [emoji1545][emoji1545] ..
 
Pia nina hilo tatizo la kuongea pekee yangu ila sio kwa mda mrefu. Hujikuta nimetamka neno ambalo lilikuwa kwenye mawazo yangu. Mke wangu kanizoea but its quite embarrassing. Pia hupretend kuwa nilikuwa nasema jambo jingine.
 
Pia nina hilo tatizo la kuongea pekee yangu ila sio kwa mda mrefu. Hujikuta nimetamka neno ambalo lilikuwa kwenye mawazo yangu. Mke wangu kanizoe but its quite embarrassing. Pia hupretend kuwa nilikuwa nasema jambo jingine.
Huwa napataga tabu sana kujiuliza kama nimesikiwa au la! yani tabu tupu ..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…