Msaada: Nawezaje kujua taarifa ya figo zangu?

Msaada: Nawezaje kujua taarifa ya figo zangu?

Na hii ndio changamoto nyingine Kwa nchi yetu
Watu wakiugua tu, Cha Kwanza ni kukimbilia pharmacy kununua dawa
Lakini hata mgonjwa akifika hospital na asipewe dawa yoyote, atalalama sana
Kwahyo imekua kama kasumba kunywa dawa
Lakini above all, kunywa dawa Kwa maelekezo ya daktari tena wakati ukiwa unaumwa tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mimi nataka kufanya vipimo vya figo sababu mkojo una protein, hospital ipi unahisi ipo bora zaidi kwa vipimo vya maabara?.
 
Kuna magonjwa hata ukijua awali kuwa unayo,hayazuiliki kutopata labda utaongeza tu siku za ugonjwa kuanA kuwa effective.
Pia unaweza kureverse hatari kama utajua mapema dalili ikiwemo kubadili life style
 
Back
Top Bottom