DuuuuuHutaki kua john bravo?
Nashukuru Sana Mkuu, Sasa Mtihani Unabaki Kwenye Kujua Zoezi Lipi Litumike Kweoye Kifua, Lipi Kwenye Tumbo Na Miguu PiaMkuu ukienda gym hakikisha unatrain viungo vyako vyote, pangilia ratiba ya ku train misuli mbalimbali.. Weka ratiba ya kufanya mazoezi ya kifua,mgongo,mkono(biceps and triceps), shoulders na muhimu sana miguu, pamoja na misuli midogomidogo kama tumbo
Kila zoezi lipe kipaumbale, usirudie rudie misuli aina moja kila siku, at least unaweza ku train kila msuli Mara 2 kwa wiki kama muda unaruhusu
Ukizingatia hayo utakua na mwili ulio na mpangilio, tatizo wengi kila siku anapiga kifua na mkono, mguu hajawahi kugusa,lazima uwe kituko
Mkuu nenda gym utapewa maelekezo, pia utakuta watu wanapiga tizi usiwe muoga kuulizaNashukuru Sana Mkuu, Sasa Mtihani Unabaki Kwenye Kujua Zoezi Lipi Litumike Kweoye Kifua, Lipi Kwenye Tumbo Na Miguu Pia
Siku ya Kwanza Gym? Fanya hivi...Nashukuru Sana Mkuu, Sasa Mtihani Unabaki Kwenye Kujua Zoezi Lipi Litumike Kweoye Kifua, Lipi Kwenye Tumbo Na Miguu Pia
Squats na mpangilio wa chakula ndiyo suluhisho la kuuweka kwenye mlingano kati ya juu na chini. Body receptors za chini zipo slow kurespond kushinda za juu hiki kinachangia kumkatisha tamaa mtu asiendelee kuutengeneza mwili wa chini.Habari Wadau,
Najua Kila Mmoja Wetu Anajua Au Ameshawahi Kuwaona Wapiga Nondo Wanavyokuwaga Na Viuno Vidogo - Yaani Kifua Daraja Wakati Kiuno Sindano.
Jinsi ya kutengeneza mwili bila kuingia GymNa Kama Mtu Akinisaidia Kunielekeza Mazoezi Kama Ya Wachina Itakuwa Poa, Maana Wao Mazoezi Yao Miili Yao Inabaki Kawaida Lakini Mikakamavu.
Squats na mpangilio wa chakula ndiyo suluhisho la kuuweka kwenye mlingano kati ya juu na chini. Body receptors za chini zipo slow kurespond kushinda za juu hiki kinachangia kumkatisha tamaa mtu asiendelee kuutengeneza mwili wa chini.
Kama gym unayoingia ipo kamili kwa kila kitu mpaka vifaa vyote vya miguu, wewe hapo ni kuwa na uhakika wa kula tu, utatengeneza na kubalansi mwili vizuri tu.
Ila lazima ujue kua haitatokea wide ikawa sawa exactly na mapaja, mara nyingi hua inakua mapaja yanakua nusu ya wide ya juu.
Jinsi ya kutengeneza mwili bila kuingia Gym
madhara yapi mkuumbona nilisikia squarts zina madhara
madhara yapi mkuu
Yaani binafsi napenda mazoezi yaufanya mwili wangu uwe kama wa Wachina ( Umbo la kawaida ila kakamaa ) au wachezaji siyo kama ya wapiga mielekagenetically mwanaume ana upper body kubwa kuliko lower body na mwanamke ana lower body kubwa kuliko upper body so specifically speaking ukienda gym unakuza hiyo hali ya kibaiolojia [ni lazima ule kiwango kikubwa cha protein ili uweze kujengeka]
kama hutaki v shape fanya aerobics (mazoezi ya viungo ) usifanye weight lifting