Habari Wadau,
Najua Kila Mmoja Wetu Anajua Au Ameshawahi Kuwaona Wapiga Nondo Wanavyokuwaga Na Viuno Vidogo - Yaani Kifua Daraja Wakati Kiuno Sindano.
Sasa Nawezaje Kubalance Haya Mazoezi, Na Kama Mtu Akinisaidia Kunielekeza Mazoezi Kama Ya Wachina Itakuwa Poa, Maana Wao Mazoezi Yao Miili Yao Inabaki Kawaida Lakini Mikakamavu.
Kila asubuhi piga pushups mia na pia jioni. Pia jogging at least once in a week, huijaji kwenda Gym.
Pushups and jogging is the best exercise