Msaada:Nawezaje Kupiga Gym Na Kukuza Kifua Bila Kufanya Kiuno Kidogoo Kama Katuni?

Msaada:Nawezaje Kupiga Gym Na Kukuza Kifua Bila Kufanya Kiuno Kidogoo Kama Katuni?

Habari Wadau,
Najua Kila Mmoja Wetu Anajua Au Ameshawahi Kuwaona Wapiga Nondo Wanavyokuwaga Na Viuno Vidogo - Yaani Kifua Daraja Wakati Kiuno Sindano.

Sasa Nawezaje Kubalance Haya Mazoezi, Na Kama Mtu Akinisaidia Kunielekeza Mazoezi Kama Ya Wachina Itakuwa Poa, Maana Wao Mazoezi Yao Miili Yao Inabaki Kawaida Lakini Mikakamavu.

Kila asubuhi piga pushups mia na pia jioni. Pia jogging at least once in a week, huijaji kwenda Gym.

Pushups and jogging is the best exercise
 
Kila asubuhi piga pushups mia na pia jioni. Pia jogging at least once in a week, huijaji kwenda Gym.

Pushups and jogging is the best exercise
Shukrani sana Mkuu kwa ushauri wako
 
Yaani binafsi napenda mazoezi yaufanya mwili wangu uwe kama wa Wachina ( Umbo la kawaida ila kakamaa ) au wachezaji siyo kama ya wapiga mieleka
fanya aerobics (mazoezi ya viungo) au kirahisi zaidi fanya mazoezi ya kukimbia
 
Mkuu ukienda gym hakikisha unatrain viungo vyako vyote, pangilia ratiba ya ku train misuli mbalimbali.. Weka ratiba ya kufanya mazoezi ya kifua,mgongo,mkono(biceps and triceps), shoulders na muhimu sana miguu, pamoja na misuli midogomidogo kama tumbo

Kila zoezi lipe kipaumbale, usirudie rudie misuli aina moja kila siku, at least unaweza ku train kila msuli Mara 2 kwa wiki kama muda unaruhusu

Ukizingatia hayo utakua na mwili ulio na mpangilio, tatizo wengi kila siku anapiga kifua na mkono, mguu hajawahi kugusa,lazima uwe kituko
Ni kweli mkuu
 
Habari Wadau,
Najua Kila Mmoja Wetu Anajua Au Ameshawahi Kuwaona Wapiga Nondo Wanavyokuwaga Na Viuno Vidogo - Yaani Kifua Daraja Wakati Kiuno Sindano.

Sasa Nawezaje Kubalance Haya Mazoezi, Na Kama Mtu Akinisaidia Kunielekeza Mazoezi Kama Ya Wachina Itakuwa Poa, Maana Wao Mazoezi Yao Miili Yao Inabaki Kawaida Lakini Mikakamavu.
Ukiwa gym kila zoez lina impact zake kwa mwili
Kuna mazoez ya kutanua kifua,kujaza mikono kujaza miguu
So ita depend ww unataka ujae wap kama ni kote basi hakikisha vyote vinaenda sambamba
 
Habari Wadau,
Najua Kila Mmoja Wetu Anajua Au Ameshawahi Kuwaona Wapiga Nondo Wanavyokuwaga Na Viuno Vidogo - Yaani Kifua Daraja Wakati Kiuno Sindano.

Sasa Nawezaje Kubalance Haya Mazoezi, Na Kama Mtu Akinisaidia Kunielekeza Mazoezi Kama Ya Wachina Itakuwa Poa, Maana Wao Mazoezi Yao Miili Yao Inabaki Kawaida Lakini Mikakamavu.
Karibu upate dumbbells
Dumbbells za 20 kg zinauzwa
 
Push up ndo kila kitu,hakikisha unapiga push-ups mia kila siku na mazoezi ya kukimbia hakika utatengeneza mwili mzuri
 
MKuu kwa jambo unalotaka gym inakugharim mda sana pia itakuhitaji uwe na mwalimu maana naona umgeni
Ila kama umedahamiria kufanya hivyo nakushauri achana na gym fanya push-up
Siwezi weka picha zangu tu mtandaoni ila utapata mwili mzuri haswaa uko balanced kote bidii zako tu kuongeza idadi
mimi huwa napiga 100 asubuhi na 100 wakati wakulala daily japo siku moja moja napitiwa
Ila inamanufaa sana watu wananishangaa mno na gym sijawahi enda so your choice now
hautajuta ukifanya push-up
 
Hao wanavamia mazoezi!!! Unakuta mtu anaenda gym kila siku ananyanyua mivyuma tu kwa mikono... Kila kiungo katika mwili kinapewa kipaimbele... Unaweza pangilia leo nafanya mazoezi ya kufua, kesho tumbo, keshokutwa miguu, inayofuata mgongo etc. Sa ukijibebea tu vyuma bila kujua ni nini unajenga ndo unatoka na shepu kama nyigu!
Hahahah Nondo zetu local zile za zege afu mnajikusanya wana tu ata hamjui kanuni
 
Yaani wenzio wanatafuta pesa we unakitafuta kifua..... Kweli kila mmoja na kipaumbele chake

Maendeleo hayana chama
 
Back
Top Bottom