Last KING Ontuzu
JF-Expert Member
- Jul 22, 2016
- 644
- 927
Ndiyo ni yale ya misumari mkuuKuziba matundu madogo Kama yale ya misumari
Basi Tina inakufaa 100%Ndiyo ni yale ya misumari mkuu
Majibu yenu plz
Asante mkuuInapatikana kwenye maduka ya hardware na baadhi ya spare
Vipi ujazo na bei yake ?Basi Tina inakufaa 100%
Mkuu Unamàñisha silicon au? Hata mimi ningemshauri atumie silicon nirahisi na very flexiblenenda duka lolote la vifaa vya ujenzi watakupa gundi fulani hivi ipo kawa dawa ya meno ila ni nyeusi,utaiweka kwenye matundu ya bati lako,pia hii hutumika kubandikia vioo kwenye madirisha,nimesahau jina kwa sababu mara ya mwisho niliiona mwaka 2007
Mkuu Unamàñisha silicon au? Hata mimi ningemshauri atumie silicon nirahisi na very flexible
Yap mkuu inanata nata iko safi sana aende hardaware yeyote hatakosanilishasahau hata jina mkuu lakini nadhani ndio hiyo si inanata nata ?
Yap mkuu inanata nata iko safi sana aende hardaware yeyote hatakosa
Technolojia inatupeleka kasi sana .....nimeziona kwa wamachinga sanabasi ni hiyo mkuu,ipo vizuri sana japo sijaiona miaka mingi sana lakini unajua hapa nchini kwetu vitu vya miaka ya zamani sasa hivi hakuna mfano juzi nimetafuta sana antenna ya Tv zile za kuweka ndani nimekosa
Technolojia inatupeleka kasi sana .....nimeziona kwa wamachinga sana
Maduka yote ya Hardware na hasa wauzaji wa mabati wanazo dawa za kuzibia na hata silicon ni moja wapo zunguka apo Moshi utapatakweli mkuu.Moshi hazipo kabisa nimetafuta mji mzima labda Dar ndio zitakuwepo
Maduka yote ya Hardware na hasa wauzaji wa mabati wanazo dawa za kuzibia na hata silicon ni moja wapo zunguka apo Moshi utapata
ila usilogwe ukanunua Tinner haihusiki
Kwani Tinner ina matumizi gani mkuu!Maduka yote ya Hardware na hasa wauzaji wa mabati wanazo dawa za kuzibia na hata silicon ni moja wapo zunguka apo Moshi utapata
ila usilogwe ukanunua Tinner haihusiki
Kwani Tinner ina matumizi gani mkuu!