Hivi unajua matumizi ya Tina (Thinner)...???..bora hata ungesema Aladite ningesema una idea kidogo ...waliosema silicon wako sahihi pia...sema silicon mi naona ni maalumu sana kwa vitu vya plastic...ningekuwa mimi ningetumia aladite.Tumia tina
Silicone, sikaflex etc.Nenda duka lolote la vifaa vya ujenzi watakupa gundi fulani hivi ipo kawa dawa ya meno ila ni nyeusi,utaiweka kwenye matundu ya bati lako,pia hii hutumika kubandikia vioo kwenye madirisha,nimesahau jina kwa sababu mara ya mwisho niliiona mwaka 2007
Mkuu njia rahisi na nafuu ni kutumia kipimo kilekile yaani unapiga Mbao kulingana na matundu ya bati unarudishia misumali mlemle.
Pili wakati unapinga bati hakikisha migongo ya matundu inakuwa juu. ukiwa chini utaona matundu ila maji hayataingia labda mvua iwe kubwa na hiyo ikilenga direct kwenye hayo matundu.
Tatu ngundi nzuri ni maroo. Huwa nyeusi kama rami hivi inauzwa elfu tatu nusu kilo.
Inaonyesha wewe sio mtu makini..Vipi hii wakuu,gundi ya mbao hutumiwa zaidi na mafundi seremala kugundishia mbao,(hujulikana kama Gundi ya moto)nahisi kama inaweza kufaa pia kuna yeyote alishawahi kuijaribu?View attachment 1590622
Labda ww ndo hauko makini,mimi niko makini ndo maana nimeleta hapa kufanya utafiti wangu kabla ya kuamua kununua
Asa we nae gundi ya mbao ,uzibie matundu kwenye bati? Maswali mengine ya kijinga.Labda ww ndo hauko makini,mimi niko makini ndo maana nimeleta hapa kufanya utafiti wangu kabla ya kuamua kununua
Basi sawaAsa we nae gundi ya mbao ,uzibie matundu kwenye bati? Maswali mengine ya kijinga.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nami akili yangu ilikuwa humo humo kwenye Maroo. Ndo suluhisho kuu ya bati lenye matundu.Mkuu njia rahisi na nafuu ni kutumia kipimo kilekile yaani unapiga Mbao kulingana na matundu ya bati unarudishia misumali mlemle.
Pili wakati unapinga bati hakikisha migongo ya matundu inakuwa juu. ukiwa chini utaona matundu ila maji hayataingia labda mvua iwe kubwa na hiyo ikilenga direct kwenye hayo matundu.
Tatu ngundi nzuri ni maroo. Huwa nyeusi kama rami hivi inauzwa elfu tatu nusu kilo.
Mkuu nenda hardware yyte ulizia silicone itakufaaHabari zenu wana jf,kutokana na bomoabomoa zinazoendelea kupisha ujenzi wa barabara nimejikuta naambulia bati na vitu vingine kama milango na madirisha.
Ninawaza kutumia bati zilezile pamoja na baadhi ya mbao,ili niezekee nyumba mpya kupunguza gharama za ujenzi ,bati ni za geji 28
Ni kwa namna gani naweza kuzuia bati hizo kuvuja wakati wa mvua?
Silicone thn inapatikana kwa rangi tofaut kuna white,black na ile transparentNenda duka lolote la vifaa vya ujenzi watakupa gundi fulani hivi ipo kawa dawa ya meno ila ni nyeusi,utaiweka kwenye matundu ya bati lako,pia hii hutumika kubandikia vioo kwenye madirisha,nimesahau jina kwa sababu mara ya mwisho niliiona mwaka 2007
Inaitwa siliconNenda duka lolote la vifaa vya ujenzi watakupa gundi fulani hivi ipo kawa dawa ya meno ila ni nyeusi,utaiweka kwenye matundu ya bati lako,pia hii hutumika kubandikia vioo kwenye madirisha,nimesahau jina kwa sababu mara ya mwisho niliiona mwaka 2007
Mtafute huyu fundi yupo vizuri sana kwenye kuziba bati: Fundi wa Kuziba Bati linalovuja kwa SiliconeHabari zenu wana jf,kutokana na bomoabomoa zinazoendelea kupisha ujenzi wa barabara nimejikuta naambulia bati na vitu vingine kama milango na madirisha.
Ninawaza kutumia bati zilezile pamoja na baadhi ya mbao,ili niezekee nyumba mpya kupunguza gharama za ujenzi ,bati ni za geji 28
Ni kwa namna gani naweza kuzuia bati hizo kuvuja wakati wa mvua?