msaada ndoto za malavidavi

Ngongoseke

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2012
Posts
3,202
Reaction score
1,462
Habari zenu wana jamvi'leo nlipata simu toka kwa jamaa yangu flani akiniomba ushauri juu ya tatizo linalomkabili rafiki yake'kaniambia kuwa rafiki yake ana mke na ana watoto ana tatizo moja la kuota ndoto anafanya mapenzi ndotoni mara kwa mara anasema anaenjoy sana kuliko hata kula tunda na mke wake'sasa hii hali inamchanganya sana na hajui inatoka wapi'

Mimi nikamshauri ngoja nilifikishe kwa GT naamini wapo wajuzi wa hili'anauliza kitaalam je hili lina madhara yeyote kwake?
Pls jukwaa huru kashfa,matusi,kejeli,haziruhusiwi
 
Mh, mi nahisi ni wewe ngongoseke unazuga ulipigiwa simu, ok fanya hivi, kwanza anamwona mtu anaefanya nae mapenzi?
 
Hapana sio mimi wakuu'mimi sina mke huyo ni rafiki yangu tu kanicall'yaha mara nyingine anamuona mwanamke ambae aliwahi kuwa mpenzi wake zamani'sasa hili swala je lina madhara kitaalam?
 
Hakuna shida yoyote, ni ndoto tu, baada ya muda zitapita.
Kwanini asiongee na mke wake wajaribu styles za ndotoni?
 
ana pepo/jini mahaba huyo
Ni kweli ukiwa una mke na unaota unafanya mapenzi ndani ya Usingizi huyo atakuwa ni Jini mahaba mbaya sana huyo Shetani anakuharibia ndoa yako na kuhusu maisha yako ya baadae Evarm

Hakuna shida yoyote, ni ndoto tu, baada ya muda zitapita.
Kwanini asiongee na mke wake wajaribu styles za ndotoni?
Haiwezekani kuondoka kiwepesi tu huyo ni shetani mbaya pepo mchafu anataka kuharibu ndoa yao hata wakijaribu Styles za ndoto hataweza kuondoka huyo shetani mbaya. bibie Mwali
 
Last edited by a moderator:
Haiwezekani kuondoka kiwepesi tu huyo ni shetani mbaya pepo mchafu anataka kuharibu ndoa yao hata wakijaribu Styles za ndoto hataweza kuondoka huyo shetani mbaya. bibie Mwali
Samahani, bila kupinga kauli yako nashindwa kabisa kuielewa
Binafsi siamini kuna kitu kama jini, pepo au shetani kinachomtaka
kwanini kimtake yeye na sio Brad Pitt au Sultan fulani wa Bahrein?
Kinamtaka kwa faida gani? ndoaa ikiharibika kinafaidi vipi hapo?
 
mh!
mara moja moja huwa nashtua...
Pray anyways...
 
aende kanisani/msikitini akaombewe....vitu vingine ni maombi tu...
 
huyo hua ana fantasize havin sex with other women au mkewe hamridhishi...lakini kuota uko na mtu mwingine alafu ni mzuri au mtu uliyekua una hamu usex nae nayo ni tamu :happy:
 
huyo hua ana fantasize havin sex with other women au mkewe hamridhishi...lakini kuota uko na mtu mwingine alafu ni mzuri au mtu uliyekua una hamu usex nae nayo ni tamu :happy:

kweli wewe mtotowamjini
speaking from experience?
 
Last edited by a moderator:
huyo hua ana fantasize havin sex with other women au mkewe hamridhishi...lakini kuota uko na mtu mwingine alafu ni mzuri au mtu uliyekua una hamu usex nae nayo ni tamu :happy:

Mutoto ya mujini hiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…