Ngongoseke
JF-Expert Member
- Jan 1, 2012
- 3,202
- 1,462
Habari zenu wana jamvi'leo nlipata simu toka kwa jamaa yangu flani akiniomba ushauri juu ya tatizo linalomkabili rafiki yake'kaniambia kuwa rafiki yake ana mke na ana watoto ana tatizo moja la kuota ndoto anafanya mapenzi ndotoni mara kwa mara anasema anaenjoy sana kuliko hata kula tunda na mke wake'sasa hii hali inamchanganya sana na hajui inatoka wapi'
Mimi nikamshauri ngoja nilifikishe kwa GT naamini wapo wajuzi wa hili'anauliza kitaalam je hili lina madhara yeyote kwake?
Pls jukwaa huru kashfa,matusi,kejeli,haziruhusiwi
Mimi nikamshauri ngoja nilifikishe kwa GT naamini wapo wajuzi wa hili'anauliza kitaalam je hili lina madhara yeyote kwake?
Pls jukwaa huru kashfa,matusi,kejeli,haziruhusiwi