NakaziaPole sana...
Ushajijua unatabia ya kuongea usingizini...
Fanya yale mazuri, jiepushe na yale ya fedheha...
Ili hata ukiongea usingizini uongee yale mazuri...
Cc: mahondaw
yNakazia
Dreamboy inaonekana unapenda kulalamika.Kwa hiyo ume conclude kwa Mimi natenda mabaya ,au kwa kuwa wew huna hl tatizo unajiona safe?
y
Asante! Kwa hiyo dawa hakuna?unaweza kuvujisha hata deal zakoDreamboy inaonekana unapenda kulalamika.
Iko hivi,kwa ninavyojua ndoto nyingi tunazoziota hua ni matokeo ya yale tunayoyafanya kutwa nzima(hapa sio kila ndoto)Tunatofautiana tu,wengine wanaota kimya kimya,wengine kwa sauti.Sasa kama we unaota kwa sauti na unayoyaongeaga ndotoni inaonesha mwenzio hayapendi,manake upunguze kufanya yasiotakiwa kutwa nzima ili usiku ukianza kuota uongee yale mazuri tu
[emoji23] dili gani sa siri hizo mwenzio asijueAsante! Kwa hiyo dawa hakuna?unaweza kuvujisha hata deal zako
Asante, kinachoniumiza hl tatizo limeanza hapa karibuni.Pole br
Kwa hiyo we deal zako zote wife anajua[emoji23] dili gani sa siri hizo mwenzio asijue
Mi ndo wife banaKwa hiyo we deal zako zote wife anajua
Kama mke natakiwa nijue kila kituKwa hiyo we deal zako zote wife anajua
Kama mke natakiwa nijue kila kitu[/QUOTE
Mke ni adui ambae hajaamua kukufanyia
"nocтυrnal lagopнтнalмoѕ" Ndio jina la kitaalam la hilo tatizo la kulala macho wazi.kuna wengine walala huku macho yakiwa wazi,ukimkuta kajilaza kitandani unaweza dhani hajalala macho yako wazi kumbe mwenzako yupo kwenye doto ya ulimwengu wa 7-kweli binadamu tunatofautiana.
Na hiyo yangu ina itwaje"nocтυrnal lagopнтнalмoѕ" Ndio jina la kitaalam la hilo tatizo la kulala macho wazi.
Kwa mujibu wa article moja inasemekana hutokea in up to 5% ya adults.
Huwa unata ndoto za kutisha mara nyingi!?Na hiyo yangu ina itwaje
Soma Uzi, inshu sio za kutisha inshu ni kujiongea ongea kwa sauti.Huwa unata ndoto za kutisha mara nyingi!?