Msaada: Ndoto za usiku(Nightmares)

Msaada: Ndoto za usiku(Nightmares)

DREAMBOY

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2013
Posts
2,117
Reaction score
1,369
Salam!
Jamani bila kupoteza muda Mimi ninatatizo ,na nila hivi karibuni. Naota bila kufaham sometimes nakikumbushwa nakumbuka lakini sio kila kitu, wakati mwingine sikumbuki, najua kuota sio jambo la ajabu ! . Tatizo kwangu ni kuota kwa kujiongea ongea kwa sauti,
Nakuja kwenu kuomba ushauri kwa sababu ninae lala nae huwa anaamka amenuna hasa, eti anishtumu nipunguze michepuko,which sometimes is not true. Nakuwa mkimya tu.
Sasa kama kuna matibabu mnishauri,au mnielekeze cha kufanya.
Hivi kesho wife anaelekea kwao,sasa hata sielewi nini nifanye. Friends ,this is serious !
 
Pole sana...

Ushajijua unatabia ya kuongea usingizini...

Fanya yale mazuri, jiepushe na yale ya fedheha...

Ili hata ukiongea usingizini uongee yale mazuri...

Cc: mahondaw
Hivi si unajua ni unconscious kwa hiyo selection huwez kui determine
 
Kwa hiyo ume conclude kwa Mimi natenda mabaya ,au kwa kuwa wew huna hl tatizo unajiona safe?

y
Dreamboy inaonekana unapenda kulalamika.

Iko hivi,kwa ninavyojua ndoto nyingi tunazoziota hua ni matokeo ya yale tunayoyafanya kutwa nzima(hapa sio kila ndoto)Tunatofautiana tu,wengine wanaota kimya kimya,wengine kwa sauti.Sasa kama we unaota kwa sauti na unayoyaongeaga ndotoni inaonesha mwenzio hayapendi,manake upunguze kufanya yasiotakiwa kutwa nzima ili usiku ukianza kuota uongee yale mazuri tu
 
Asante! Kwa hiyo dawa hakuna?unaweza kuvujisha hata deal zako
 
kuna wengine walala huku macho yakiwa wazi,ukimkuta kajilaza kitandani unaweza dhani hajalala macho yako wazi kumbe mwenzako yupo kwenye doto ya ulimwengu wa 7-kweli binadamu tunatofautiana.
 
Huyo anaelala wakati hakufumba macho kazi ya ulinzi inamfaa
 
kuna wengine walala huku macho yakiwa wazi,ukimkuta kajilaza kitandani unaweza dhani hajalala macho yako wazi kumbe mwenzako yupo kwenye doto ya ulimwengu wa 7-kweli binadamu tunatofautiana.
"nocтυrnal lagopнтнalмoѕ" Ndio jina la kitaalam la hilo tatizo la kulala macho wazi.

Kwa mujibu wa article moja inasemekana hutokea in up to 5% ya adults.
 
"nocтυrnal lagopнтнalмoѕ" Ndio jina la kitaalam la hilo tatizo la kulala macho wazi.

Kwa mujibu wa article moja inasemekana hutokea in up to 5% ya adults.
Na hiyo yangu ina itwaje
 
Back
Top Bottom