Sounds nice,I shall try itMkuu Fanya mazoezi kwa wingii...
Unaelewa maana ya neno nightmares !??Soma Uzi, inshu sio za kutisha inshu ni kujiongea ongea kwa sauti.
Nightmare????Salam!
Jamani bila kupoteza muda Mimi ninatatizo ,na nila hivi karibuni. Naota bila kufaham sometimes nakikumbushwa nakumbuka lakini sio kila kitu, wakati mwingine sikumbuki, najua kuota sio jambo la ajabu ! . Tatizo kwangu ni kuota kwa kujiongea ongea kwa sauti,
Nakuja kwenu kuomba ushauri kwa sababu ninae lala nae huwa anaamka amenuna hasa, eti anishtumu nipunguze michepuko,which sometimes is not true. Nakuwa mkimya tu.
Sasa kama kuna matibabu mnishauri,au mnielekeze cha kufanya.
Hivi kesho wife anaelekea kwao,sasa hata sielewi nini nifanye. Friends ,this is serious !
Asante! Kwa hiyo dawa hakuna?unaweza kuvujisha hata deal zako
Usiwe unalala kukesha mbona easy tu.Salam!
Jamani bila kupoteza muda Mimi ninatatizo ,na nila hivi karibuni. Naota bila kufaham sometimes nakikumbushwa nakumbuka lakini sio kila kitu, wakati mwingine sikumbuki, najua kuota sio jambo la ajabu ! . Tatizo kwangu ni kuota kwa kujiongea ongea kwa sauti,
Nakuja kwenu kuomba ushauri kwa sababu ninae lala nae huwa anaamka amenuna hasa, eti anishtumu nipunguze michepuko,which sometimes is not true. Nakuwa mkimya tu.
Sasa kama kuna matibabu mnishauri,au mnielekeze cha kufanya.
Hivi kesho wife anaelekea kwao,sasa hata sielewi nini nifanye. Friends ,this is serious !
Hapo ndipo ulipoishia,kiakili?Jina la uzi na uzi wenyewe havilandani
Kaka inaonekana unajua kuandika script za vichekesho.Usiwe unalala kukesha mbona easy tu.
Mkeo akirudi jifanye unaota kama kawaida ongea unampenda mkeo hatari.
WalaKaka inaonekana unajua kuandika script za vichekesho.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] aiseeeeUsiwe unalala kukesha mbona easy tu.
Mkeo akirudi jifanye unaota kama kawaida ongea unampenda mkeo hatari.
Ndo nini unanifanyiaWala
Huo ushauli si unamfaaa sana?[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] aiseeee
Mimi nmefanyanini tenaNdo nini unanifanyia
Sawa anaweza ota kwa kuigiza halafu ile ndoto ya kweli kweli akaota alivyoigiza uongo,,,, hiyo vita yake utaenda kuamulia wewHuo ushauli si unamfaaa sana?
SawaYeye atalalaje huku anajua hua anaota ufala
hahaha kweli kabisa, aujaze moyo wake na ubongo wake yale mazuri ili usiku ikijitune kwenye Replay mode basi mazuri tu yasikike.Pole sana...
Ushajijua unatabia ya kuongea usingizini...
Fanya yale mazuri, jiepushe na yale ya fedheha...
Ili hata ukiongea usingizini uongee yale mazuri...
Cc: mahondaw
niongezee hapo, sio yale tunayofanya kutwa nzima bali hata yale tumeyapanga kuyafanya siku zijazo.Dreamboy inaonekana unapenda kulalamika.
Iko hivi,kwa ninavyojua ndoto nyingi tunazoziota hua ni matokeo ya yale tunayoyafanya kutwa nzima(hapa sio kila ndoto)Tunatofautiana tu,wengine wanaota kimya kimya,wengine kwa sauti.Sasa kama we unaota kwa sauti na unayoyaongeaga ndotoni inaonesha mwenzio hayapendi,manake upunguze kufanya yasiotakiwa kutwa nzima ili usiku ukianza kuota uongee yale mazuri tu
Nakazia hapo babe ake mumuniongezee hapo, sio yale tunayofanya kutwa nzima bali hata yale tumeyapanga kuyafanya siku zijazo.
Nitakomahahaha kweli kabisa, aujaze moyo wake na ubongo wake yale mazuri ili usiku ikijitune kwenye Replay mode basi mazuri tu yasikike.