Msaada: Ndoto za usiku(Nightmares)

Msaada: Ndoto za usiku(Nightmares)

Salam!
Jamani bila kupoteza muda Mimi ninatatizo ,na nila hivi karibuni. Naota bila kufaham sometimes nakikumbushwa nakumbuka lakini sio kila kitu, wakati mwingine sikumbuki, najua kuota sio jambo la ajabu ! . Tatizo kwangu ni kuota kwa kujiongea ongea kwa sauti,
Nakuja kwenu kuomba ushauri kwa sababu ninae lala nae huwa anaamka amenuna hasa, eti anishtumu nipunguze michepuko,which sometimes is not true. Nakuwa mkimya tu.
Sasa kama kuna matibabu mnishauri,au mnielekeze cha kufanya.
Hivi kesho wife anaelekea kwao,sasa hata sielewi nini nifanye. Friends ,this is serious !
Nightmare????
Asante! Kwa hiyo dawa hakuna?unaweza kuvujisha hata deal zako
 
Salam!
Jamani bila kupoteza muda Mimi ninatatizo ,na nila hivi karibuni. Naota bila kufaham sometimes nakikumbushwa nakumbuka lakini sio kila kitu, wakati mwingine sikumbuki, najua kuota sio jambo la ajabu ! . Tatizo kwangu ni kuota kwa kujiongea ongea kwa sauti,
Nakuja kwenu kuomba ushauri kwa sababu ninae lala nae huwa anaamka amenuna hasa, eti anishtumu nipunguze michepuko,which sometimes is not true. Nakuwa mkimya tu.
Sasa kama kuna matibabu mnishauri,au mnielekeze cha kufanya.
Hivi kesho wife anaelekea kwao,sasa hata sielewi nini nifanye. Friends ,this is serious !
Usiwe unalala kukesha mbona easy tu.
Mkeo akirudi jifanye unaota kama kawaida ongea unampenda mkeo hatari.
 
Usiwe unalala kukesha mbona easy tu.
Mkeo akirudi jifanye unaota kama kawaida ongea unampenda mkeo hatari.
Kaka inaonekana unajua kuandika script za vichekesho.
 
Yeye atalalaje huku anajua hua anaota ufala
 
Pole sana...

Ushajijua unatabia ya kuongea usingizini...

Fanya yale mazuri, jiepushe na yale ya fedheha...

Ili hata ukiongea usingizini uongee yale mazuri...

Cc: mahondaw
hahaha kweli kabisa, aujaze moyo wake na ubongo wake yale mazuri ili usiku ikijitune kwenye Replay mode basi mazuri tu yasikike.
 
Dreamboy inaonekana unapenda kulalamika.

Iko hivi,kwa ninavyojua ndoto nyingi tunazoziota hua ni matokeo ya yale tunayoyafanya kutwa nzima(hapa sio kila ndoto)Tunatofautiana tu,wengine wanaota kimya kimya,wengine kwa sauti.Sasa kama we unaota kwa sauti na unayoyaongeaga ndotoni inaonesha mwenzio hayapendi,manake upunguze kufanya yasiotakiwa kutwa nzima ili usiku ukianza kuota uongee yale mazuri tu
niongezee hapo, sio yale tunayofanya kutwa nzima bali hata yale tumeyapanga kuyafanya siku zijazo.
 
Back
Top Bottom