We mbona umejaa fallacies, hivi shule umesoma wew?Punguza kuangalia movie dogo
Sijasoma, umesoma wewe dogo!We mbona umejaa fallacies, hivi shule umesoma wew?
Dreamboy inaonekana unapenda kulalamika.
Iko hivi,kwa ninavyojua ndoto nyingi tunazoziota hua ni matokeo ya yale tunayoyafanya kutwa nzima(hapa sio kila ndoto)Tunatofautiana tu,wengine wanaota kimya kimya,wengine kwa sauti.Sasa kama we unaota kwa sauti na unayoyaongeaga ndotoni inaonesha mwenzio hayapendi,manake upunguze kufanya yasiotakiwa kutwa nzima ili usiku ukianza kuota uongee yale mazuri tu
Ndo maana hapo kwenye mabano niliweka (sio zote)MMMMHH sio kweli, leo nimeota naongea na BILGATE kuhusu mpango wa kujenga kiwanda cha saruji mbeya, tena kwa sauti. Asubuhi wife kaniambia " ACHA UTOTO" Mi ndio nilikuwa naota naongea na BILGATE
Ukiona ndoto zako hazijakamilika ENDELEA KULALANdo maana hapo kwenye mabano niliweka (sio zote)
Hiy inamhusu mtoa mada labdaUkiona ndoto zako hazijakamilika ENDELEA KULALA
Mbona umenikomalia wew ,unaniita dogo kila unapoachia uharo wako hapa. Umejijaza uzee wa nchi. Pathetic!Sijasoma, umesoma wewe dogo!
Ndoto za usiku usiku huwa kukamilika kwake ni mwisho wa usingizi tu. Na sidhani kama ukilala ubaweza kuota, ila nafikiria ukisinziaUkiona ndoto zako hazijakamilika ENDELEA KULALA
No thank youHiy inamhusu mtoa mada labda